Thursday, 13 June 2013

KUHUSU TAVITA

 Taswira ya Vijana Tanzania(TAVITA)ni asasi isiyokuwa ya kiserikali iliyoanzishwa mwaka 2012 na kusajiliwa rasmi tarehe 26.07.2012 ikiwa na namba ya uasijli ooNGO|00005717
    MALENGO MAKUU YA TAVITA
   a.kubuni mipango,miradi na shughuli mbalimbali ili kupunguza umaskini na kuimarisha uchumi wa miongoni mwa vijana jamii kwa ujumla
   b.kutoa elimu ya afya,ujasiriamali,mazingira na kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya
   c.kupambana na rushwa
   d.kuandaa na kushiriki warsha,semina,makongamano na midahalo yenye tija kwa taifa
   e.kutafuta vijana wenye vipaji katika michezo,elimu,utamaduni na sanaa ili kuwaendeleza zaidi
   f.kutoa elimu kuhusu michezo

   

0 comments:

Post a Comment