Saturday, 29 June 2013

PONGEZI KWA RAIS KIKWETE NA SERIKALI YAKE

UONGOZI wa TAVITA unampongeza rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndg Jakaya Kikwete na serikali kwa mafaniko makubwa sana,ambayo yameshapatikana katika muula wake wa uongozi,mfano wa mafanikio hayo ni...
a.ni serikali sikivu inayosikiliza wananchi
b.imeendelea kudumisha amani na mshikamano wa kitaifa
d.kusaidia kukuza uchumi wa nchi
e.kuinua kiwango cha elimu
f.kuboresha huduma za afya vijijini
g.kuinua na kuboresha michezo na sanaa.....UONGOZI WA TAVITA UNAWAOMBA WATANZANIA WAENDELEE KUMWAMINI DR JK KWANI KAZI KUBWA NA NZURI INAFANYIKA...TANZANIA INAPAA KIUCHUMI JAMBO LINALIWAFANYA MAJIRANI ZETU WATUONEE WIVU.....KAMWE TUSIWAPE USHIRIKIANO WA AINA YOYOTE WANASIASA UCHWARA WANAOTAKA KUTUVURUGA
      
     OTIENO. P.BARAKA
           KATIBU.

0 comments:

Post a Comment